Albert Celades
Mandhari
Albert Celades López (amezaliwa 29 Septemba, 1975) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alikuwa akicheza kama kiungo wa ulinzi. Kwa sasa ni kocha wa klabu ya Pafos FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Cyprus.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hall, Andy (26 Oktoba 2004). "Salad days for Celades". UEFA. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Media day with Albert Celades". Metro Fanatic. 16 Machi 2009. Iliwekwa mnamo 22 Machi 2009.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Celades kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |