Nenda kwa yaliyomo

Gerard Butler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerard Butler
Gerard Butler
Gerard Butler
Jina la kuzaliwa Gerard James Butler
Alizaliwa 13 Novemba 1969
Uskoti
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1997 - mpaka leo

Gerard James Butler (amezaliwa tar. 13 Novemba 1969) ni mwigizaji filamu wa Kiscotland. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Mfalme Leonidas kutoka katika filamu ya 300 na The Phantom ya mwaka wa 2004.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Butler alizaliwa mjini Glasgow, ni mtoto wa Margaret na Edward Butler. Babu yake na bibi yake walitokea nchini Ireland. Butler alikulia katika maisha ya dini sana, na familia yao walikuwa waumini wakubwa wa dhehebu la Wakatoliki. Baadaye familia ilielekea Montreal na si muda mrefu baba na mamake Butler wakatarikiana, na mamake akamchukua Butler na na ndugu zake wengine wakarudi zao Uskoti, katika mji wa Paisley alipozaliwa mamake Butler. Toka kipindi hicho hakuwa na mawasiliano zaidi na babake hadi alipofikisha umri wa miaka kumi na sita.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
MwakaJina la filamuJina alilotumiaMaelezo
1997Mrs. BrownArchie Brown
Tomorrow Never DiesLeading Seaman
1998Tale of the MummyBurke
Fast FoodJacko
Little White LiesPeterTV movie (UK)
The Young Person's Guide to Becoming a Rock StarMarty ClaymoreTamthilia ya TV (UK)
1999The Cherry OrchardYasha
Please!PeterFilamu fupi
One More KissSamTamthilia ya TV (UK)
Lucy Sullivan Is Getting MarriedGusTamthilia ya TV (UK)
2000Dracula 2000Count Dracula
Harrison's FlowersChris Kumac
2001An Unsuitable Job for a WomanTim BoltonTamthilia ya TV (UK)
AttilaAttila the HunTV miniseries
Jewel of the SaharaCaptain Charles BelamyFilamu fupi
The JuryJohnnie DonneTamthilia fupi (UK)
2002ShootersJackie Junior
Reign of FireCreedy
2003Lara Croft Tomb Raider: The Cradle of LifeTerry Sheridan
TimelineAndré Marek
2004The Phantom of the OperaThe Phantom
2005Trailer for a Remake of Gore Vidal's CaligulaPrefect Cassius ChaereaFilamu fupi
Dear FrankieThe Stranger
Beowulf & GrendelBeowulf
The Game of Their LivesFrank Borghi
2007300King Leonidas
Butterfly On A WheelNeil Randall
PS, I Love YouGerry Kennedy
2008Nim's IslandWanatengeneza kasha yake
RocknRollaOne TwoWanatengeneza kasha yake
2009GameBado inatengenezwa
  1. http://www.filmreference.com/film/73/Gerard-Butler.html
  2. http://gerardbutler-es.com/index.php?option=com_content&task=view&id=1505&Itemid=116&lang=en Ilihifadhiwa 5 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
  3. http://gerardbutlerusa.com/Interviews.html Ilihifadhiwa 21 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  4. http://www.hellomagazine.ca/profiles/gerardbutler/ Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
  5. http://www.canada.com/topics/entertainment/story.html?id=50e2e2f3-f765-4d9c-88e6-a39959023abb&k=97955 Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]