Ilias Chair
Mandhari
Ilias Emilian Chair (amezaliwa tarehe 30 Oktoba, 1997) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayechukua nafasi ya kiungo mshambuliaji au mshambuliaji katika klabu ya Queens Park Rangers F.C.. Amezaliwa Ubelgiji, na anachezea Morocco national football team.
Maisha ya mapema
[hariri | hariri chanzo]Ilias Chair alizaliwa katika Antwerp, Ubelgiji, kwa baba wa Kemoroko na mama wa Kipolandi.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ilias Chair set for Morocco Under-20 training camp". Queens Park Rangers F.C. 24 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ilias Chair - Queen's Park Rangers - Soccer Base". www.soccerbase.com. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ilias Chair kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |