Nenda kwa yaliyomo

Robin Quaison

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robin Quaison

Robin Kwamina Quaison (matamshi: KWAY-sən; alizaliwa 9 Oktoba 1993) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Uswidi anayekipiga katika klabu ya Gulf United ya UAE First Division League. Anacheza kama mshambuliaji, kiungo mshambuliaji au winga wa kushoto.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Stockholm, akiwa na baba mwenye asili ya Ghana na mama Mswidi. Tangu utotoni alikuwa rafiki wa karibu na rapa Dree Low.

Kazi ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Quaison alianza kazi yake ya soka la kulipwa mwaka 2011, alipokwenda kwa mkopo katika klabu ya Väsby United.[1][2]

  1. https://www.svenskfotboll.se/spelarfakta/32085883-04e4-4232-8b67-7bd42e22d89e/
  2. https://www.olympics.com/en/athletes/robin-quaison
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Quaison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.