Nenda kwa yaliyomo

Shen Kuo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shen Kuo(1031–1095) au Shen Gua, akiwa na jina la heshima Cunzhong na jina la kisanaa Mengqi (sasa mara nyingi huandikwa Mengxi) Weng [1] alikuwa mwanafalsafa mwenye taaluma nyingi, mwanasayansi na mwanasiasa wa China katika Nasaba ya Song ya Kaskazini.


  1. Yao 2003, p. 544
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shen Kuo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.