Soprano
Mandhari
Soprano (matamshi ya Kiitalia: [soˈpraːno]) ni aina ya sauti katika muziki wa kitamaduni na ndiyo yenye uwezo wa kufikia juu zaidi kuliko aina nyingine zote za sauti. Neno "soprano" linatokana na neno la Kiitalia sopra (lenye maana ya juu au kileleni), kwani soprano ndiyo sauti ya juu zaidi ya binadamu na mara nyingi hupewa nafasi ya kuongoza katika maonyesho ya opera.
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soprano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |