Nenda kwa yaliyomo

Vuyolwethu Zungula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vuyolwethu Zungula ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye alikuwa rais wa Chama cha Mabadiliko ya Kiafrika (African Transformation Movement – ATM) tangu kuanzishwa kwake hadi Juni 2025.[1]

  1. ↑ Makwakwa, Thabo (2025-06-09). "ATM leader Vuyo Zungula replaced by Professor Caesar Nongqunga". IOL (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-06-09.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vuyolwethu Zungula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.