Nenda kwa yaliyomo

Lyon

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
ina makala kuhusu:

Nomino

[hariri]

Lyon

  1. Mji ulioko mashariki mwa nchi ya Ufaransa.
  2. Makao makuu ya mkoa wa Auvergne-Rhône-Alpes ulioko kwenye makutano ya mito ya Rhône na Saône.

Etimolojia

[hariri]

Jina Lyon linatokana na jina la Kilatini "Lugdunum". Jina hili liliundwa na Warumi na linamaanisha "Ngome ya Lug" (Lug akiwa mungu wa kale wa Waselti) au "Kilima cha Mwanga."

Tafsiri

[hariri]