Log inSign up
Samia Suluhu
1,822 posts
user avatar
Samia Suluhu
@SuluhuSamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Dodoma, Tanzania
Joined June 2014
29
Following
1.8M
Followers
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 16
    Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika. Kutimia kwa ndoto ya kila mtoto kunategemea maamuzi na hatua tunazochukua leo. Tunapojiandaa kuanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, tumeazimia kujenga Taifa ambalo kila mtoto anapata malezi na makuzi bora, analindwa na
    8.4K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 12
    Hotuba yangu leo niliposhiriki maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), jijini Dar es Salaam. Maeneo muhimu niliyosisitiza Benki Kuu kufanyia kazi tunapoelekea kuanza utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050 ni pamoja na: 1. Kuimarisha uwezo wa kung’amua mwelekeo wa
    00:00
    7K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 9
    Mwaka huu Tanzania na Singapore tunaadhimisha miaka 45 ya uhusiano wetu ambapo kwa upekee leo tumempokea Rais wa Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, Ikulu jijini Dar es Salaam. Hii ni historia na heshima kwa nchi yetu kwani ni mara ya kwanza Rais wa nchi hiyo kutembelea
    14K
    user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 9
    4.2K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 5
    Nikihitimisha ziara yangu ya Kitaifa katika Shirikisho la Urusi, leo pamoja na mambo mengine nimepata fursa ya kuhutubia Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Urusi pamoja na Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF), ambayo yamekutanisha viongozi, wataalamu
    20K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 4
    Ninalishukuru Baraza la Taaluma la Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) kwa kunitunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa). Nimepokea heshima hii kwa unyenyekevu mkubwa kwa niaba ya Watanzania wote ambao ndiyo msingi wa mafanikio tunayojivunia na
    25K
    user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 4
    4.8K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 3
    Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow. Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia
    29K
    user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 3
    5.9K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 2
    Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa neema na baraka zake, katika kazi ya kuendelea kuitumikia nchi yetu na watu wake. Nimewasili jijini Moscow, Shirikisho la Urusi ambapo nimeanza ziara ya kitaifa kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin.
    38K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    Jun 2
    Nimeondoka nchini leo kuelekea Shirikisho la Urusi kwa ziara ya Kitaifa kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin, ikiwa ni ziara ya pili kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya ile ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Oktoba 1969. Ziara hii
    61K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 28
    Utoaji wa mafunzo kwa Jeshi la Polisi ni moja ya nyenzo zinazoliwezesha kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi na kisiasa duniani katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Ni kwa muktadha huo leo nimefarijika kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na
    14K
    user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 28
    5.6K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 27
    Ninawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tusherehekee kwa moyo wa amani na upendo, huku tukiwakumbuka ndugu zetu wenye uhitaji, na kuendelea kudumisha utu na ukarimu katika jamii. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema apokee dua na sadaka zetu na aendelee kulibariki Taifa
    36K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 22
    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bi. Khadija Said Salmin, Mtangazaji wa Habari wa Kwanza Mwanamke nchini Tanzania, kilichotokea leo mkoani Dar es Salaam. Tutamkumbuka na kumuenzi Bi. Khadija kwa uthubutu, weledi, nidhamu, umahiri katika kazi na mchango wake, kama
    58K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 19
    Kigali, Rwanda, 19 Mei, 2026. Nimeungana na viongozi wenzangu, mashirika ya kimataifa, wawekezaji na wataalamu wa masuala ya nishati katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA). Tanzania tumepiga hatua kubwa katika
    61K
  • user avatar
    Samia Suluhu
    @SuluhuSamia
    May 18
    Ninaipongeza Timu ya Taifa ya Vijana ya Mpira wa Miguu chini ya miaka 17 (Serengeti Boys), kwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia mwaka 2026. Mafanikio haya ni fahari kubwa kwa taifa letu na ni ushahidi wa vipaji, juhudi na nidhamu ya vijana wetu katika kuipeperusha bendera ya
    13K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms of Service|Privacy Policy|Cookie Policy|Accessibility|Ads info|© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up